WIRE โ Wataalamu wa lugha ya Kiswahili kutoka mataifa mbalimbali wamekutana katika Chuo Kikuu cha Kisii kujadili nafasi ya lugha hiyo katika maendeleo, wakisisitiza umuhimu wake katika teknolojia, utafiti na utengenezaji wa maudhui ya kidijitali yanayoakisi tamaduni za Afrika Mashariki. Kongamano hilo la Chama cha Kiswahili cha Afrika Mashariki (CHAKAMA) limewaleta pamoja zaidi ya washiriki mia mbili...
"We aggregate wires to encourage regional discovery, sending readers directly back to the original source to explore full coverage."
This is a normalized overview of the breaking feed event. The complete, official release detailing all points, background context, and statements remains hosted by the original publisher.