WIRE โ€” RAIS William Ruto na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna wamezua mjadala mkali kuhusu ujenzi wa nyumba za ghorofa chini ya Mpango wa Nyumba za Gharama Nafuu, baada ya kutofautiana kuhusu iwapo nyumba hizo zinafaa kwa maisha ya wakazi wa Magharibi mwa Kenya. Mzozo huo ulianza baada ya Sifuna kuhoji ujenzi wa nyumba za orofa 12 katika eneo la Funyula, akisema hazilingani na mtindo wa maisha wa jamii za eneo hilo. Akizungumza kwenye mahojiano katika kituo cha redio cha Mulembe FM Jumatano, Julai 22, 2026, Sifuna alitumia mfano wa kufuga kuku kukosoa mpango huo. "Wamejenga nyumba za orofa 12 za gharama nafuu Funyula. Sisi Waluhya hatuwezi kuishi mahali ambapo kuku wetu hawawezi kuishi. Niambie, kuku wako atafikaje kwenye orofa ya 12?" alihoji. Rais Ruto alimjibu Alhamisi, Julai 23, wakati wa katika Ikulu ya Nairobi.

"We aggregate wires to encourage regional discovery, sending readers directly back to the original source to explore full coverage."

This is a normalized overview of the breaking feed event. The complete, official release detailing all points, background context, and statements remains hosted by the original publisher.