WIRE โ€” Jaji Mkuu Martha Koome ameonya kuhusu ongezeko la magenge ya uhalifu yanayodaiwa kufadhiliwa na wanasiasa, akisema hali hiyo inatishia usalama wa taifa huku idadi ya makundi hayo ikiendelea kuongezeka. Akizungumza katika mahojiano ย na kituo kimoja cha televisheni Jumapili, Koome alisema ripoti ya Kituo cha Utafiti wa Uhalifu (Crime Research Centre) inaonyesha kuwa kuna zaidi ya

"We aggregate wires to encourage regional discovery, sending readers directly back to the original source to explore full coverage."

This is a normalized overview of the breaking feed event. The complete, official release detailing all points, background context, and statements remains hosted by the original publisher.