WIRE โ WALIMU wakuu wa shule za upili za umma nchini wataanza kufikishwa mbele ya Bunge la Kitaifa kueleza jinsi walivyotumia mabilioni ya fedha za umma, katika hatua mpya ya kuimarisha uwajibikaji katika sekta ya elimu. Kamati ya Elimu Bungeni imesema itaanza kwa kuhoji wakuu wa shule za Kundi C1 (zamani shule za kitaifa), kabla ya kufanya
"We aggregate wires to encourage regional discovery, sending readers directly back to the original source to explore full coverage."
This is a normalized overview of the breaking feed event. The complete, official release detailing all points, background context, and statements remains hosted by the original publisher.