WIRE โ€” HOSPITALI ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) imeandika historia baada ya kufanikisha kwa mara ya kwanza nchini upasuaji wa kisasa usiohitaji kufungua kifua na tumbo kwa kiasi kikubwa ili kumtibu mgonjwa wa saratani ya koo, hatua inayowapa matumaini wagonjwa wengi. Mnufaika wa upasuaji huo ni Joshua Wanzala, ambaye alikuwa akisumbuliwa na saratani ya koo Stage 2B.

"We aggregate wires to encourage regional discovery, sending readers directly back to the original source to explore full coverage."

This is a normalized overview of the breaking feed event. The complete, official release detailing all points, background context, and statements remains hosted by the original publisher.